AMIDA Sehemu ya 41 na 42

AMIDA Sehemu ya 41 na 42

Ilikuwa ni mala ya kwanza namuona uyu mtu anatabasamu jamani, ila nilijua wala hajatabasamu kwa wema, but kiukweli nilishafiki pount ya kwamza najua kabisa kuwa nampenda sana justin, kuliko chochote, yani nampenda ile kweli licha na madhaifu yake yote, ila niliona kabisa moyo wangu unamuhitaji uyu kaka, basi justin akanmbia umewaza nn kwenye akiri yako, mpaka unambie ayo maneno, apooo kashakuwa kauzu tena na lile tabasamu wala halipo, nikasema nisikilize , sijawaza chochote but nahitaji kuwa na ww plsss , nahisi nakupenda sana justin, justin akanmbia ebu ww ,huna ata aibu unanambia upumbavu mwanamke, ndo mwanamke wa hivyo ww, si

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments