AMIDA Sehemu ya 43 na 45

AMIDA Sehemu ya 43  na 45

basi mie hii siku nikashinda tu nyumbani, mnajua ata kula nilikuwa nakula kwa shida , yani stress zilinijaaa mnooo kichwani, basi kufika mida ya saa 12 ,shoga yangu cat akajaaa, nikamkalibisja vizuri, akanmbia mh we nae stresss gani zinakusumbua hivyo, nikasema cat nitakusimulia mbele ningoje nivae ,unipeleke sehemu nikanyweee kwanza kisha ndo mambo mengine yatafuata , cat akasema sawa , basi kweli mie.nikaingia ndani, nikajiandaaa, nilivaa simpe tu, ata chini nilivaa vuatu vya kuingiza tu, wala sikuwa na mambo mengi, cat akanmbai tutumie gari yako basi ndo nzuri. Mana leo nataka twende kiwanja kimoja cha mapedesheeeeeee, yani watu wenye pesa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments