JAYDEN 1 MPAKA 4

JAYDEN 1 MPAKA 4

MPYA MPYA MPYA MPYA MPYA MPYA 🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭 Sehemu ya 1 na 2 Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Aseeeee ilikuwa ni mida ya jioni, ndo nainuka sasa kutoka kwenye kitanda, baada ya kutoka shule na kujipumzisha kwa mda mrefu, asee niliona nipumzike kwanza mana hii siku niliwahi sana kurudi nyumbani, na nilikuwa nimechoka kutokana na pilika pilika za mtihani wa necta za week nzima , zilizonifanya nichoke sanaa, basi hii siku ndo ilikuwa nimetoka kwenye mtihani wa mwisho wa practical ya physics, so nilivyofika home sikutaka mambo mengi ,nikajibwaga kitandani kwanza kuchapa usingizi, ndo hii jioni nilistuka, basi nilivyostuka, nikanyanyuka na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments