
Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Aseeee nikajikaza mwanaume, nikapark chombo changu nne, kishe taratibu nikaanza kuingia ndani, ila nilikuwa nna hofu kinoma, mana namjua mzee wangu, aseee mimi baba yangu, ukimkwaza sana , hakupigia na bakora ,no ,anakwmabia nyanyuka tupigane, oyaaa mzee wangu jau, asa mimi naanzia wapi kupigana na mzee, basi apoo atanidunda mpaka akiri inakaa sawa, uyooo ndo mzee wangu sasa, basi bwana , ile nafungua mlango wa kufungua ndani tu, namkuta mzee kakaa juu ya sofa anachezea simu, yani kama ananingoja, basi nikasoge mpaka kwenye sofa na mm nikakaa ,kisha nikamuamkia mzeee, mzee hakuitikia salamu yangu akaniangalia
0 Comments