
🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭🐭 Sehemu ya 7 na 8 Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Sijuh nn kilinikuta kwa uyu mchumba, alafu mm the way nilivyo sasa, nikitaka mwanamke nachanganikiwa kinoma, ila nikishampata ahaaa namuona kawaida sanaa, basi nikawa pale ata chakura chenyewe sikili vizuri, yani nipo namuangalia mtoto , basi tukiwa tunaendelea kula, nikaona kale kadada kanamnong'oneza mama yake, kisha mama yake akawa anamuelekeza sehemu kwa kutumia mikono yake, ila mie nilielewa uyu demu anataka kwenda msalani, alafu mama yake ndo akawa anamuonesha sasa, basi kweli kale kadada kakasimama kakaelekea toilet, ally akanmboa oyaaa mzee ndo mda wako huu, nyanyuka uende chapu, unafanya
0 Comments