KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 36

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   36

Achana na mali zitakuumiza,naamin alieziacha anaakili na pia alitaka uwe na amani. Nilishangaa na sikujua kwa nini kaniandikia uo ujumbe,niliamua kuachana nazo maana nilikuwa na uwezo na sikua na shida yoyote. Miez miwili ilishapita toka tumzike Dick,siku moja nikiwa kazin nikawa najisikia hovyo,mdomo mchungu,kizunguzungu basi tafran. Nikaamua kwenda kupima,Mungu wangu nilikuwa na ujauzito wa miez mitatu nilishangaa,ingawa sikuwa naona sikuzangu nilihisi ni mshtuko wa kifo cha Mume wangu. Ingawa nilizipokea taarifa zile kwa furaha ila nilikua na huzuni Sana maana mtoto hatomuona baba yake. Mimba ikafikisha miez 7,nilinawiri na nilikua na tumbo dogo yaan ukiniangalia haraka haraka huwez jua Kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments