
Prosper alinihudumia kipindi chote cha uzaz yaan utafikiri yeye ndo mume wangu tens alihamia kwangu kabisa. Kunakipindi nilikua namshangaa maana n mtu tuliekutana tu anaweza k6nisaidia vipi kias kile hali yakua simjui hanijui Ila kuna muda nafikiri labda Mungu kamleta kwangu maana sikua na msaada. Alikaa na Mimi kwa takriban miezi mitatu nikimuuliza kuhusu kazi anadai kaomba likizo. Mhhh nikaona sawa. Siku moja nikiwa natoka clinic nikamuona prosper na yule mtu ambae anajizibaga sura kama wanabishana pembezoni mwa geti langu,nilikua mbali kidogo nikataka kumjua yule mtu ni nani,na anauhusiano vipi na prosper,nikaanza kutembea taratibu kuelekea walipo lakin kabla sijafika prosper
0 Comments