MREMBO KIPOFU 02

MREMBO KIPOFU 02

Basi bwana, tulikuwa tukiishi kwa mama yule. Mama alikuwa anaitwa Mama Frank. Yeye alikuwa na familia kubwa kweli. Alikuwa na watoto wake; mkubwa anaitwa Frank. Yaani Frank alikuwa ananizidi mimi mbali tu, lakini hakuwa anafanya kazi yeyote zaidi ya kushinda vijiweni. Alikuwa na binti tunakaribiana naye lakini ajabu alikuwa na watoto wawili na wote wapo nyumbani tu. Alikuwa na watoto wa kiume tena wadogo wawili na mapacha tena wakike, wao walikuwa wana miaka kama 7 hivi. Hapo alipo tena alikuwa na mtoto wa mgongoni na anategemea maisha ya kuomba omba ili kulisha familia. Japokuwa tulikuwa tunaishi bure lakini ilikuwa ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments