MY BODYGUARD 15

MY BODYGUARD 15

Kishindo kikubwa cha gari za kifahari aina ya V8 kilisikika kikitie nanga nje ya geti kuu la jumba hilo la Oysterbay. Sauti za milango zikifungwa kwa nguvu zilisikika, zikifuatiwa na hatua za haraka za viatu vya buti zilizokanyaga bustani ya maua ya nje bila huruma. Tahiya alisimama karibu na dirisha kubwa la sebuleni, akitazama nje kupitia mwanga hafifu wa usiku. Kupitia vioo vizito vya kuzuia risasi, aliwaona zaidi ya vijana sita waliovaa mavazi meupe na suti nyeusi, wakiwa wameshika silaha za moto mikononi mwao, wakiongozwa na mtu mmoja mrefu aliyekuwa akiongea kwa simu kwa hasira. Alikuwa ni Emmanuel mwenyewe, akiwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments