
Siku nyingine tena baada ya chai mimi na derick tulikaa sebleni tunaangalia movie kwnye tv my wife to be nafurahia uwepo wako natumaini tiba yangu niwewe au nisinywe tu dawa hahahaha acha zako hapo unatakiwa kumaliza dawa ili uwe sawa naona haina haja kwako mimi napona kabisa I cant loose you okay but dawa ni lazima darling utaniua wee binti hiyo sauti mungu wangu hebu rudia hiyo darling uliitamkaje acha zako bhana alafu now unaendelea vizuri tangu juzi utoke hospitali nimemmisi mama jamani atakuwa bored derick aliniangalia wew ni tiba yangu bado mgonjwa mimi nataka huduma yako au nimwambie amtafute
0 Comments