CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 9

CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 9

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 9 Ronnie, ah! Huyu jamaa alikua kama bahasha yenye barua nzuri nje umependeza, ndani una ujumbe wa moyo. Tangu alipojitokeza kwenye ile party, kila kitu kikawa kama kimetulia… angalau kwa nje. Lakini moyoni, bado kulikuwa na mdundo wa maswali: "Je, huyu si mwingine tu kama Adam aliyevaa ngozi ya fadhili?" Lakini jamani, moyo wa mwanamke ni kama plastiki ya nailoni unayeyuka kwa moto wa maneno matamu. Ronnie hakusema mengi, lakini kila alichokisema kilikuwa kina timing, kina uzito, na kina direction. Siku moja alinipigia nikiwa darasani. Nika-text: “Nipo lecture, nikutafute baadae?” Akanijibu fasta: “Sawa, focus baby

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments