
UDANGAJI ULINIPA MUME TAJIRI? MTUNZI HAPPY CHARLES WSP 0786193547 SEHEMU..1 ??????????????? Unaambiwa akuna aijue kesho ila leo tunaiyona kesho ndio pagumu mtu kujua maan ingekua rahisi kila mtu angejua kesho yake inakujaje ili aweze kabiliana nahali iyatayokuja kumtokea.. Mungu niwaajabu sana. Niliamka mapema tu nikawa natazama nje nikiwa Ndani Yajumba langu ila kulikua nijuu yaghorofa ya nyumba yangu ilikua nzuri tu nakubwa sanaa ata siwezi kuyelezea ... Niliangalia nje hali ilivo Nakushika tumbo langu ambalo lilikua nakiumbe ndani yake.. Nikakumbuka maisha yangu yanyuma Sasa nikiwa namiaka 24.. Unajua kila mtu najua alichopitia kwenye maisha yake kiwe kizuri au kibaya pia..
0 Comments