SHEMEJI KAUTAKA Sehemu -01

SHEMEJI KAUTAKA Sehemu -01

SHEMEJI KAUTAKA Sehemu -01 Inapoanzia ni kwenye harusi ya mdogo wake Richard aliyefunga ndoa na mrembo aitwaye Rahma. Kijiji kizima cha Mbuyuni kilikusanyika kushuhudia tukio hilo kubwa. Richard alikuwa kijana mpole, lakini mkewe Rahma ah! mrembo kupita maelezo. Mwili wake ulijengeka kama pyramid za misiri , mwili rangioja rangi nyeupe , macho kama goroli.jicho hata asipokuita lazima uende yaani naweza kusema hii ni pisi kali ya kwenda. Siku hiyo Richard alimwalika kaka yake mkubwa Ramadhani ambaye alikuwa anaishi mjini. Ramadhani alishawahi kuoa lakini ndoa yake haikudumu. Kutokana na tabia yake ya kupenda kuchepuka na kupenda chini kuliko kula yaani mnyime

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments