
UTAMU WA MABOSS?????? 8 Alex baada ya kuuona uso wake alipiga makelele kwa hasira ???????? Alipogeuka kumtazama Linda tayari alikuwa ameshaondoka "Nitawashangaza sana wazazi wangu wakiniona na makeup naweza kuwakumbusha kuhusu siku nilivyomleta mpnz wangu nyumbani wakiwepo na nikall nae ,hio siku walinigombeza sana, Alex akawa anajisemea. "Na wataanza kuniuliza naoa lini, hii makeup itawafanya wahisi vitu vingine.. Alex Alifika nyumbani dakika chache baadaye na akakuta chakula cha jioni tayari kimewekwa lakini wazazi wake hawapo mezani, Alex alipumua kwa utulivu, maana alikuwa anawaza ataweza vipi kuingia ndani Hali ya kuwa ana makeup usoni mwake. Angalau hakutakuwa na maswali kutoka kwao.
0 Comments