WATOTO MAPACHA SEHEMU YA 11

WATOTO MAPACHA                            SEHEMU YA  11

WATOTO MAPACHA SEHEMU YA 11 "Kwahiyo kuna Celena na Celina "? Bado mama Stefano aliuliza maswali maana nikama anawasiwasi , "Ndio mama mi nishaonana na Celena mala moja tu na hatujaongea sana na sikumuona tena mpaka leo ," Aliongea Celina huku akimwangalia mama yake , Wote wakabaki kimya huku baba Stefano akiendesha gari kwa speed kumuwahisha mama Celina hospital, Walifika mpaka pale hospital wakapokelewa na mama Celina akapelekwa kwenye WOD maalumu ya wagonjwa wa akili , Walipohakikisha kila kitu kipo sawa na mgonjwa kapokelewa walirudi nyumbani wakiwa na Celina huku wakiahidi kuja kesho yake kumuona mama Celina kama amepata nafuu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments