
: WATOTO MAPACHA Sehemu ya 10 Mama Celena alirudi nyumban kwake na akapokelewa na wafanyakazi na wakampa pole kwa kuumwa , sasa akajipunzisha kwenye sofa hapo sebuleni akajikuta anawaza tena maisha yake ya nyuma , Mr Benson au barozi hakufanikiwa kupata mtoto kwa mkewe anaeitwa Celina , Sasa Maria ambae ndio mama Celena wa sasa akapanga amzalie mtoto Mr Benson, Na mapenzi yao yalikuwa ya Siri sana na Celina hakujua chochote , Humo humo ndani Mr Benson alikuwa anatoroka usiku anamuacha Celina kalala anakwenda chumbani kwa Maria na kufanya mapenzi , Wahenga wanasema ""penzi kikohozi kulificha huliwezi ," Maria akaanza
0 Comments