🚩🚩🚩🚩🚩 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:21

🚩🚩🚩🚩🚩 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:21

Nikasoma tu na kuvuta pumzi huku nikishika kichwa changu kwa kuchoka maana hata sielewi. Kusema ukweli, kazi naitaka, Hotel ile ni kubwa sana yaani mimi kufanya kazi ni ndoto yangu, ila tayari boss anataka penzi na mimi. Nitafanyaje sasa. Miguu yangu ilikuwa mizito, nguvu ziliniisha. Ilinibidi nitafute mahala nikae. Ndani ya moyo wangu nasikia sauti ikisema “usitoe utu wako kupata kitu, ipo siku utapata kilichobora zaidi.” Kila nikisikia sauti hii machozi yananitoka roho inaniuma kuikosa Hotel kubwa namna ile. Picha za jengo, furaha ya kufika pale kwa mara ya kwanza, namna nilikuwa nasubiri kwa hamu kufanikiwa kunajirudia kichwani. Roho inaniuma

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments