NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 49

NIPE YOTE DADY SEHEMU YA 49

Msiba ulifanyika tukamuhifadhi mpendwa wetu kisha tukakaa siku mbili na kutandua msiba , mama mkwe alikuwa mtu wa kulia kila siku nilijitahidi kukaa nae karibu maana alihitaji kuangaliwa kwa ukaribu. Kwakuwa Selim alikuwa ndio mtoto mkubwa wa kiume alihitajika kuendesha miladi yote ya kifamilia hata hivyo ndio lilikuwa agizo la baba yake ,basi maisha yalibadilika kwa kipindi kichacheSelim akawa bize kuliko kawaida sikuona shida nikawa nampa moyo,na mama mkwe akawa mwenye mawazo sana ikabidi nikae nae hivyo vituko vyake sasa,nakwambia ilikuwa naamka asubuhi Namuandalia chai nikiweka mezani na kwenda kumkaribisha anaitikia tu ila kuja kula haji, mtakunywa mpaka manamaliza yuko

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments