
. Usiku wa saa sita na nusu ndani ya jiji kubwa la Dar es Salaam, giza ndilo lilikuwa limetanda huku likidhibitiwa na mwanga mkali wa taa za umeme barabarani na kwenye majumba ya watu pia. Ghafla sana sauti ya milipuko sita ya mabomu ikasikika, na mwanga mkali ukali pasua anga la jiji kutoka ardhini mpaka juu angani. Mwanga huu ulisababisha Watu wengi waliokuwa kwenye pilika pilika zao za kila siku kushtuka sana kufuatia milipuko hiyo sita mikubwa iliyolipuliwa muda mpufi tu uliopita. Watu wakaingiwa na hofu kuu, kila mmoja akatafuta upenyo wa kuiokoa nafsi yake mwenyewe. Dakika zikasogea binadamu wakiwa
0 Comments