MDOGO WA MKE WANGU SEHEMU YA PILI

MDOGO WA MKE WANGU  SEHEMU YA PILI

Mwandishi: Kelvin Mlowe Nilielekea taratibu kwenye mlango wa mbele, moyo ukipiga kama ngoma ya vita. Mikono yangu ilitetemeka niliposhika kitasa cha mlango. Niliufungua polepole... na pale mlangoni alisimama Askari wa doria. “Ndugu usiku mwema,” alisema kwa sauti ya ukakamavu. “Tunaendesha doria za kawaida. Tumepita tu kuhakikisha kila kitu kiko salama.” Nilipumua kwa nguvu, nikijaribu kuficha hofu na msisimko uliojaa mwilini. “Shukrani sana afande. Kila kitu kiko sawa,” nilijibu. Alinitazama sekunde kadhaa, kisha akasema, “Tukirudi tena usiku wa manane, tutapita hapa tena.” Aligeuka na kuondoka. Nilifunga mlango kwa haraka. Niliegemea mlango huo, nikavuta pumzi ndefu. Mara nikasikia mlango wa chumba cha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments