Bryan Mbeumo huyoo kakubali Kujiunga na Manchester United

Bryan Mbeumo huyoo kakubali Kujiunga na Manchester United

Tukisema Manchester United imekosa mvuto sokoni me nakukatalia mchana kweupe Bryan Mbeumo huyoo kakubali Kujiunga na Manchester United hataki kusikia kilabu chochote kinamfatilia Zaidi ya Manchester United 😀 . Amevikataa vilabu Kama Arsenal, Newcastle na Spurs sasa hadi Arsenal haina mvuto sokoni hapana Muda mwingine ni Mapenzi tu mchezaji mwenyewe na target zake wala siyo pesa au mafanikio🥴 . Mbeumo huyooo msimu ujao maji mtaita mma dadeki zenu 😁🙌

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments