DADA KIBOGA NA MJEDA: 11

DADA KIBOGA NA MJEDA: 11

Basi nikabaki nimeduwaa mimi kama nimepigwa na shotinsiamini kama mashoga zangu wote wamekimbia na viatu vyao wameniachia😭😭 Mara wakati nashangaa nikamuona captain jacob anashuka kwenye gari akiwa kavalia magwanda yake yaleee kapiga na miwani meusii,na alivyo mrefuuu nyie,🥰🥰🥰nikajikutaa navutiwa nae moyo ukadunda paaaah paaaaah🙈🙈jamni nilimwona mbaya ila leo hata sijui kwanini amenivutia gafla tu mwenzenu nimempendaa buree🙈🙈🙈 Nikajikuta hadi hofu yote inakata nikalegea kama mrenda usio na magadi🤣🤣🤣 Taratibu captain jecob akaja hadi pale nilipoo akanikunbatia huku akinishushia dera langu kwa nyumaa huku akinibinyabinya makalio🙈🙈 Hutulii mremboo!!!Haya makalio ni mali yangu mimi kwanini unayaonesha kwa watu??? Nyie🥰🥰🥰hata sikusikia swali harufu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments