
πππDRAMA OF LOVEππ. part 14 Her: Beb alikuja ama hapana?? Me: whaaat why? when? Who?? NJERI: Sky usinipandishe hasira please, nauliza Brianna alikuja ama hapana?? YES or NO. ME: no hakukujaπππ. NJERI: Sasa anakuja aje na ni mm ndo niliandika hiyo letter π²π². I almost fainted π, yan nmekuwa nikimficha mwenye letter?? This must be a jokeπ, Njeri alianza kunirushia maswali mazito mazito hadi nikashindwa kujiteteaπ. Ilibidi nmehang up simuπͺ. Mara that nikamkol Brianna nione kama kweli siye aloandika ile barua ya kunitembeleaπ±. Hakushika calls zangu, I wanted to call even more than million times but Njeri hakunipa time, alikuwa
0 Comments