
______________________________________ Aliongea ivyo akaondoka , Amina alienda kuleta dawa za kumeza nikameza, kidogo mzee akafika, nikamsalimia Kwa uoga kweli, tulikula, nikatoka kuongea na mzee pamoja na Mudy, mzee aliuliza kama tumemaliza tofauti zetu ndoa lini tusizini hovyo, " baba Mimi binafsi Niko tayali hata Sasa hivi ila mwenzangu akaomba iwe wiki ijayo, tutafunga kwanza ndoa Sherehe ndio tutapanga, nilishangaa Mimi ndoa, nikajifanya kukubali tu ila kichwani napiga hesabu ivi, Nina akili kweli Mimi niolewe na huyu shetani, mbwa ibilisi mkubwa huyu hapana��... Tulimaliza kuongea siku hio tulilala hapo na mimi nililala na binti yangu Kwa amani kabisa, asubuhi kulivyokucha, nilikuwa
0 Comments