Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11

Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11

Nilipata woga, nikakaa pale. Tulianza kula kuku, chips, kaa wa baharini, na vitu vingine ambavyo sikuvijua. Beatus alikuwa busy nami, akiniwekea nyama kwenye sahani. Scott alikuwa anavuta sigara, akiangalia tu. Tulimaliza, tukarudi majini. Nilipenda kuogelea, kwani tukiwa wadogo tuliogelea mtoni. Jioni ikafika, baridi ikazidi, tukaenda kuoga, tukavaa, tukarudi kukaa. Scott alikuwa amenuna, huku Beatus akinijali kila kitu. Tulikula chakula cha usiku, kisha saa sita tukaondoka. Beatus alichukua namba yangu, akasema atanipigia, amependa kampuni yangu. Sikusita, kwani Scott alionekana hana muda nami. Tuliondoka na Scott kwa gari lake, wnikaogopa. magari yao. Scott alikuwa kimya hadi nyumbani, nikaogopa. Tulifika, Masai akafungua geti.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments