
Basi baada ya kupepelea kitumbua kikapoa niliingia kuoga na kusafisha vizuri asije baba watoto akashtukia kuwa tayari chakula chake kimeliwa tena sio na mtu wa kawaida ni muokota makopo. Mimi ndio lisa namshukuru sana Dada Caren kwa kunifundisha kuwa naweza kutumia nilichonacho kupata nachokitaka bila kumtegea kiumbe anayeitwa mwanaume. Baada ya ile siku kupita siku tatu baadaye mume wangu alinambia ana safiri na watoto wanaenda kumsalimia bibi yao hatuwezi kwenda wote inabidi mimi nibaki kulinda nyumba.Nisidanganye nilijifanya kulia kinafiki ila kwenye kamoyo kuna sherehe ngoma zikiambatana na nderemo na vifijo niliona ni muda pekee wamimi kuwapa watu wale kitumbua
0 Comments