
Jordan alimpuuzia alijua lazima atakuwa kaota ndoto mbaya alichukua grass ya maji na kumpatia " hebu kunywa kwanza haya maji . Bryan alikunywa maji kidogo alafu akaendelea kusema " Anapata wapi ujasiri ya kunijibu vibaya wakati sikuwa na Nia mbaya nae? " Kwani unamuongelea Nani ? " Maria " Yeye Ni Nani? " Msichana mmoja maskini na mjinga anasema mama yangu mjinga. Jordan alijua la zima kutakuwa na sababu ya huyo Maria kumjibu vibaya maana alimfahamu vizuri Bryan Ni mtu mwenye dharau. " Basi pumzika kwanza tutaliingea hili kesho na hata Kama itawezekana tutamtafuta Maria akuombe msamaha " Nikimuona ninaweza
0 Comments