NIPE YOTE DADY 39

NIPE YOTE DADY 39

Aliniacha chumbani na kuingia jikoni akaanda chai kisha akarudi na kunikaribisha, nimenuna lakin sijawahi kununa kwenye kula nilisogea na shuka langu nikala kama vile nimeambiwa oya unadakika mbili tu Selim alibaki akiniangalia akitaka kunishika tu nasogea akaona acha nisijisumbue kama mali iko kwangu ee ndege wangu kwann kumshkia manati akainuka na kuniuliza. "mke wangu nikuwekee mziki gani " sikumjibu si nimenuna akajiongeza mwenyewe na kuweka si akaanza kucheza nyie nilistop kula kwanza na kumuangalia huyu mtu vipiii ee hivi unajua ukimuona Selim alivyo alafu na haya mambo anayoanza kufanya hafananii nayo kabisa kwanza alivyokuwa anacheza utacheka yani pamoja na kwamba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments