
Leo ndo ile siku ya nipe yoote Dady hahahaaa je Dady wetu atakaefanikiwa kumega tonge mkononi ni nani?? Je ni selim? Au Skyler?? Tuendelee.. wakati najihoji maswali peke yangu chumbani ghafla alikuja Skyler kule chumbani kwangu tukaanza kupiga story hata hazieleweki hapo tunaoneana aibu kama zote😂😂 Baada ya kuongea kwa mda nikaanza kupiga mwayo Sky akanikmbtia nakuniambia nilale nyie hayo macho yake sasa mmhhh kama vile anataka kitu ila kusema ndo ishu Mtoto wawatu nilijikaza niupe heshima mwili wangu ee lakin ghafla ile kauli ilifutika na kujikuta nikitamani kufanya Japo kidogo😩😩 Nasio kwamba Skyler alikuwa akin shika labda tuseme nimeshawishika
0 Comments