
NIPE YOTE DADY💞💞💞 SEHEMU YA 16~17 Baba yangu alitoa amri kuwa nijiandae tuondoke alichukizwa sana na lile tukio Selim alivosikia habari za kuondoka alichanganyikiwa.. Ikabidi aanze kuomba msamaha ila baba alikuwa kakasirika mno hakutaka hata kumuona selim mbele yake😰😰 Kila mtu ilibidi aanze kujieleza kule ndani baada ya mama Selim kujieleza na baba kutokuelewa baba Selim na Selim waliungana na kumuomba baba msamaha walimbembeleza mwisho akakubali. Alitoa onyo kwa selim na kumwambia iwe mwisho kuninyanyulia mkono kama ndoa imeshindikana anirudishe nyumbani sio kunipiga.. Baada ya hapo baba hakutaka maongezi mengine aliondoka bila hata kusema ni kipi kilichomleta katika ile familia
0 Comments