
Mwandishi; maramoja the great Simulizi za john @topfans 0789 824 178 1000 Akasema ndio anakuja madam akasema una uwakika akasema ndio akasema sasa kayla akifeli tena mtiani ujao ili somo nakuchapa ww akanyamaza kimy madam akatoka tukaendelea na ratiba zetu mda wa mchana nipo na shoga zangu tunapiga stry dining 1uku tunakula mala akaja peter akanambia kayla naomba tuongee nkamwambia si uongeee apa apa ama akanambia kayla unajua mm sipend shida na walimu naomba uje nikuelekeze hesabu kila ikifika saa 2 usiku prepo ntakua nakufundisha mana bado kama week 3 tunafanya mtiani wa kufunga shule nkamwambia we vp unanipangia maisha
0 Comments