BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 10

BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 10

Rahul aliongeza mwendo wa gari kumuwahi Mr Alberto Airport .. "HELLLO TANZANIAAAA..." Mr Alberto alitoka nje ya Airport akatazama Mbigu na kufumba macho akaisalimia Tanzania kwa bashasha zote .. Alitazama huku na kule akiwa na Tabasam lake , baada ya dakika 20 ,Rahul akawa amefika Umeniweka sana mzee" Mr Alberto alilalamika huku anasogea alipo Rahul "Nisamehe kiongozi, Masha alitaka nimpeleke Bagamoyo ,nikashindwa kukataa unajua alivyo na Amri huyo" "Lakini yupo salama " "Yeah yupo salama kabisa, Ila Kiongozi mie aomba tuongee kama wanaume hapa tutoe kabisa Vyeo" Rahul akashusha sauti kidogo , Mr Alberto akamsogelea Vizuri huku anaikunjia mikono yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments