BFF😇 SEHEMU YA 01

BFF😇 SEHEMU YA 01

SONGA NAYO.................... Hello my people mko poa jamani 😊, haya wapendwa wangu leo nimerudi na kitu new🥰kitu traaamu chenye kufanya mda wote utamani kusoma /sikiliza 🥰 maana utamu uliomo humu umezidi viwango . Jamani story ya leo inakwenda kwa jina la BFF 💓 kabla sijaanza kutiririka niulize swali kwanza je my wangu ni kitu gani hukujia kichwani mara tu unaposikia neno bff 🥲eti kipenzi ni kitu gani? Na je unaushuhuda na mabff? Kama unao uwanja uko wazi usisite kuachia comment yako ,, mimi acha niachie yangu. Jamani kwa upande wangu mimi sina ushuhuda hai na mabff ila yanayosikika kwenye jamii

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments