BFF 😇 SEHEMU YA 02

BFF  😇 SEHEMU YA 02

SONGA NAYO.................. Basi nilifika panapo mlango wa chumba cha wazazi wangu nikagonga nikaruhusiwa kuingia nikaingia na kufika namsalimia baba . "Good morning dady" "Morning my beautiful girl how was your night " "Aaah ilikuwa njema ,hmmm mbona umevaa kama vile unatoka vipi kuna safari?" "Yeah nina kikao ,, naa nje ya kikao leo mchana tutaenda kwa shangazi yako '" "Hiyo tu inamaanisha na mimi nimo ama ni wewe na mkeo " "Kwanini usiwemo tunaenda familia nzima " "Aaaah naona nikiikosa , baba leo nina takiwa kukutana na wenzangu na tulipanga kulala huko" Nilivyo sema hivyo baba aliniangalia usoni na kuniuliza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments