
ANZA NAYO SASA......... Call me Tyson kijana wa miaka 25 ninatokea kwenye familia inayojiweza kwa kila kitu bwana 😊 sijisifii sana maana wabongo hamkosi maneno kabisa mkisikia natokea kwenye familia inayojiweza kwanza lazima mjihakikishie ndio muamini 😂 Sasa guys mimi Tyson leo ndio jd wenu 😂 yani mimi ndio msimliaji wa story hii ikiwa ina ukweli ndani yake, sasa bwana mimi niko muhandsome 😇 ona mnavyobisha 😂 Ngoja niwahakikishie kabisa mimi bwana ni mwanaume na nusu 👌 yani mimi ni aina ya wale wanaume ambao hawana mambo mengi sijui bata au kupenda madem me hizo tabia sina kabisa Me ni
0 Comments