
SONGA NAYO.............. Basi my wenu nilijipa mda mzuuri wa kupumzika na ilivyofika mchana nikajiandaa vizuri kabisa nikahakikisha nimewaka 😇na kunukia vya kutosha kisha nikaingia chumbani kwa wazazi wangu nikiwa na lengo la kuchukua funguo za gari. Maana leo nimetamani kubadilisha gari so nikaingia na kuangalia mahali funguo hukaaga nikashangaa sioni hata moja ☹️, kwa haraka haraka nikahisi huenda zimebadilishwa wakati wa kufanya usafi. So nikatafuta sehemu tofauti tofauti ila wapi sikufanikiwa kupata , nikamuita dada na kumuuliza labda atakuwa ameona zilipo ila hata yeye akasema hajaona ,hii ina maana bi mkubwa kazificha☹️. Simzushii jamani hii ni tabia yake yaani mara
0 Comments