
SONGA NAYO........................ Nilichukua simu na kumpigia simu mchizi wangu aka bff simu iliita sana pasipo kupokelewa ,sikuchoka nikapiga tena na tena puuzi hili likaja kupokea baada ya kupiga mara kumi😒. Na sijui lilikuwa linafanya nini jinga hili make kupokea tu likaanza kunitolea mitusi😏, sikutaka kumsikiliza amalize nikamwambia. "Oya kijana achaga bangi basi nakupigia mara zote hizo hupukei au ushavuaha tayari maana sio kawaida yako kabisa" "Achana na mimi kabisa, kwanza nambie unataka nini maana ulishakataa kunisindikiza " "Ooooh kwahiyo umeacha kupokea simu zangu kisa nimekataa kukusindikiza 😏haya basi tufanye nimekubali njoo unichukue nyumbani" "Staki tena 😒" "Khaaa mtoto wa kiume
0 Comments