BFF 😇 SEHEMU YA 05

BFF 😇 SEHEMU YA 05

SONGA NAYO.................. Basi nilifika na kugonga mwenyeji akaja kunifungulia nikamsalimia na kumpatia mzigo wake kama nilivyo agizwa kisha nikaaga na kurudi kwenye gari. Sikutaka kuongea nilichofanya ni kufunga mkanda kisha nikatulia kimyaa,Norvin aliniangalia na kuniuliza" vipi umemkuta yeye ama ?" "Yeah " "Sasa mbona unajibu mkato hivyo au hujamuelewa nini?" "Bwanaee embu nipeleke ninakotaka kwenda mie maana ushaanza kuuliza maswali ya kijinga ,eti sijamuelewa haya tuseme sijamuelewa utamuacha?" "Kumuacha uongo ila pia sitakua nae siunajua mambo yetu yale" "We moto wako inabidi uwe wa gesi maana dhambi zako zinatisha" "Loooh unavyo jifanya mtakatifu sasa kama sio wewe unaeenda kuzinzika huko

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments