
SONGA NAYO................ Kijana aliwaka kwa hasira nikagombezwa vya kutosha hadi nikaamua kukaa kimya maaana sasa nitaongea nini ile hali mtu anafoka tu nanimesha muweka wazi kuwa hakuna kitu chochote kati yetu ila haelewi😏😒 Kwa hiyo acha aongee akichoka atakaa kimya ☹️na siombi msamaha maana sijakosea kitu😒eee sasa nitaomba msamaha kwa lipi kwa mfano kuja na rafiki yangu? Kwani yeye kuja kunaharibu nini kwake? Au kanyofoka ngozi tusema kwamba ana maumivu gubu tu🙄na sipendi wanaume wenye gubu mimi basi tu 😒. Haya mwenye energy ya kufoka alifokaaa wee hadi mishipa ya kichwa ikamsimama nikawa namzoom na alivyo choka akapiga magoti mbele
0 Comments