
SONGA NAYO..................... Norvin aliniangalia kwa hasira huku akiwa ameziba pua 🤧, nikamwambia" ee we nae nini kuniangalia kama unataka kuninyonga 😒" "Huwezi kucheka bila kujamba ?😒lione jitu zima ovyo " "Khaa kwa hiyo nijibane bane kisa wewe upo 😒sahau baba yaani ukija naachia alafu unanisema kama vile hujawahi kujamba mbele yangu 😒" "We koma wewe nimejamba mbele yako lini na wapi ?" "Lione eti linataka kuruka ,, haya achana na hiyo kwanza mh umeanza lini kutoka na vidada vimbau mbau namna hiyo?" "Unataka kujua iliniweje kwa mfano 😒😏" "Ushaanza nyodo zako kama mtoto wakike 😏" "Umesemaje wewe?" "Umenisikia ,, na
0 Comments