BFF 😇 SEHEMU YA 07

BFF 😇 SEHEMU YA 07

SONGA NAYO................... Sikutaka mambo ya kupotezeana mda tena nilichofanya ni kuvuta nguo zangu nikataka kuvaa akanizuai na kuniuliza"unataka kufanya nini mamaa?" "Nadhani unaona navaa 😐" "Jamani unavaaje hatujafurahia 🥲please basi mamaa usiifanye siku yetu iwe mbaya " "Diego ! Ukweli ni kwamba hii siku ilishakuwa mbaya kitambo tu so acha niondoke nyumbani tutajaonana siku nyingine " "What babe please usinifanyie hivyo😭" khee jamani eti analia 😐sasa nini kinachomliza 🤨, sipendagi drama za kijinga mimi 😐🤨. Nilichukia na kutamani kuongea ila nikaona nitakacho ongea kinaweza kuwa kibaya kwake ,so nikachagua kuwa mtulivu ,Diego aliendelea kulia kiasi flani nilijisikia vibaya 😥. Nilifikilia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments