
SONGA NAYO........................ Niliwasha tv na kuwa bize na movie ,, kivuruge wangu akaoga na alivyomaliza akaja akiwa kavaa boxsa na vest, sikuona shida kwasababu si mara ya kwanza kumuona akiwa kavaa vile . Na sio yeye tu hata mimi kuna nguo naweza kuvaa nisiwe na ujasiri wa kusimama mbele ya mtu mwingine ila mbele za huyu kichwa ngumu navaa bila hata wasi wasi. Kiufupi tunachukuliana poa sana na kila mmoja anamuona mwenzake kuwa hawezi kufanya kitu chochote cha kipuuzi so tuna amani kuwa katika hali zote 😊. Basi tuliangalia movie pale tulivyochoka tukacheza game hadi ilipofika saa nane tukajikuta tunalala
0 Comments