MY BOSS Sehemu ya 1

MY BOSS Sehemu ya 1

Mwandishi:lissa mwalla Karibuni mburudike na mjifunze kupitia simulizi hii ya kweli. Haya songa nayoo💃💃 Kwa majina naitwa INAYA Hussein ni mzaliwa wa pemba baba yangu akiwa ni mswahili mzaramo halisi lkn mama yangu ni mwarabu wa pemba😜.kwetu tulizaliwa watatu mimi nikiwa wa mwisho na kaka zangu wawili, ARYAN ambae ndio mkubwa na ASIF anaemfuata.familia yetu ilikua na uwezo mwanzo lkn baba alikuja pata matatizo ambayo sikuwahi yajua akafilisika ivo tulikua tunaishi kwa nguvu ya kimgahawa kidogo cha baba na mama wanachouza sana kahawa na vitafunwa pia chakula. Kakangu mkubwa aryan alizamia meli akapotelea ulaya huko bila mawasiliano yoyote alisema maisha

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments