BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 08

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 08

ENDELEA.......... Upande wa George baada ya kufika nyumbani alihitaji kumuuliza Vivi kuhusiana na tukio lililotokea "Samahani nimekuamsha usiku namna" George alijitetea "Usijali, kuwa huru kuzungumza" "Mbwa wa Catarina kapoteza maisha baada ya kula pilau ulilomuwekea kwenye hotpot, nashindwa kuelewa hii imekaaje" Vivi alikodoa macho" Mbwa kafa baada ya kula pilau? lakini yeye si ndio alipika mie kazi yangu ilikuwa ni kumuwekea tu kwenye hotpot. Sisi Wanawake bhana huwa tuna visa vyetu. Huenda ameamua kuja na hii mbinu ili uniondoe hapa" "Hapana, umewaza mbali sana. Catarina hajakuhisisha wewe kwenye hili tukio ni wazi kabisa anakuamini. Tafadhali usijisikie vibaya katika hili" "Okay

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments