BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 09

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 09

ENDELEA......... "Samahani mwanangu, mambo yalikuwa mengi sana na hata ni kasahau kama kushika simu" Mkuu wa shule alianza kwa kuongea "Hapana usijali, naomba kusikia sasa kinachoendelea" "Pole sana, lakini Chiriku (Mama yako) alipoteza maisha mdogo wako akiwa na miaka 18. Tatizo lake lilikuwa ni figo lakini pamoja na rafiki yake kujitolea figo tatizo halikuisha. Mama yako alikuwa anapenda sana kunywa pombe...." Mkuu wa shule aliongea Catarina akiwa kavunjika moyo" Mdogo wangu Huruma yuko sasa, natamani kusikia kuhusu yeye" "Mtoto wa rafiki ya Mama yako alimchukua wakaenda wote Mjini, sijui ni Jiji lipi waliloenda lakini huu ndio ukweli nilioupata" "Huyo rafiki

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments