BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 10

BILLIONEA AND ANOTHER LOVE 10

ENDELEA.......... "Kipenzi nini kimetokea?" George aliuliza "Moyo wangu tu umevunjika, sijui hata kwanini nimeona wewe ndio unafaa kupoza moyo wangu" George alimshika mkono kisha akampeleka Ofisini kwake. "Naomba upumzike hapa, kila kitu kitakuwa sawa. Nina kikao cha dakika 30 baada ya kumaliza nitakuja kuongea na wewe" Basi Catarina aliweza kupoa, maneno ya George yalimfariji. "Siwezi kumuacha pekee yake asije kupatwa na balaa...." George alijisemea kisha akampigia simu David Alimpa kazi ya kukaa na Cat 🐈 baby kisha yeye akaenda kuhudhuria kikao. Kilikuwa ni muhimu sana isingekuwa rahisi kwake kuacha David akiwa hajui aanzie wapi kumfariji Catarina alijikuta akimuangalia kwa matamanio.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments