
ENDELEA....... Safari ilikuwa ndefu kidogo..... Catarina alijikuta amechoka. "Kweli kwa sasa nimezeeka, ile siku natoroka nyumbani kwetu tena nikiwa nimekaa juu ya gari la mizigo sikuchoka kiivyo ukilinganisha na sasa hivi" Catarina alijisemea Basi lilisimama kisha yeye akashuka, yenye kuendelea na safari waliendelea Mazingira yalikuwa ni yale yale, hakuna kitu kilichokuwa kimebadilika. Nyumba yao ilikuwa imechoka sana kiasi kwamba kama mvua zitanyesha mfulilizo basi itaporomoka. Ile anataka kuingia ndani alishtukia anaitwa" Tumsifu" Catarina aligeuka chapu amuone huyo mtu aliyemyuita jina lake. "Unanifahamu Mimi?" Catarina aliuliza "Kwanini nisikukumbuke, wewe ni mtoto wa kwanza wa marehemu Chiriku ni ngumu kwangu kukusahau" Mwanamke
0 Comments