
BINTI MIA Sehemu ya 02 Mwandishi: Chief Basi nikawaza, why yupo hivi siku hizi babe wangu jamani? Wakati siku zile alikuwa ananipenda sana. Japo tulikuwa tunasoma lakini alikuwa anakeep in touch na mimi. Siku hizi ndio anajifanya kusoma sana ama? Nikamshirikisha Eva. Akasema, “Nawe tulia bhana, unamuwazia mabaya tu. Mwenzio ndio akatae chuo tusijuane? Ni sawa hatujitangazi ni wapenzi maana watu hayawahusu, lakini ndio kufanya tunajuana nayo ni shida? Kwani wewe shida yako nini shogangu? Kwani yeye ni pen?” “Mmmh khaaa, lakini mbona ananikaushia? Hata nyumbani kunitafuta nayo shida?” “Bibi weee, itakuwa kuna mwenzio kakuzidi ujanja.” “Wee jama jama, ndio
0 Comments