BINTI MIA 03

BINTI MIA 03

BINTI MIA 05 Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: 0621045997 Nikamwambia, "Sina mimba wallah, vile siwezi kunywa majani bure. Sina mimba, nilikwambia tu labda tutasameheane." "Naomba uondoke, sitaki kukuona. Sikuchezea nafasi," alisema. Nikasepa zangu. Nikatoka, nikampigia braza angu Hans, nikamuuliza yupo wapi. Nikaanza kulia. "Mimi niko nyumbani. Una tatizo gani mbona unalia?" "Nakuja kukwambia tu kakangu." Nikaenda home nikamkuta yeye tu; mama angu wa kambo hakuwepo. Nikabidi nimwambie tu nikaona labda atanisaidia. Akanambia, "Nitaenda ongea nae. Akizingua sana achana nae, asikuumize kichwa, sawa braza?" Akasema, "Nikupeleke home, usiende peke ako." Tukatoka. Tulivyofika nje ya gate pale tulipopanga, kabla hatujaingia, Victor

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments