BINTI MIA 06&07

BINTI MIA 06&07

BINTI MIA 06 Mwandishi: Chief na simulizi zake WhatsApp: 0621045997 Nikakosa msemo mana najionea maajabu. Nikabidi tu niitikie tu mama wa watu kwamba mimi ndo mkwewe, lakini nikasema nikitoka apa Victor nazinguana nae. Eva akanitext, "Msindikizaj ushakula au nkuhesabie nasonga ugali nusu nicheke?" Nikamwambia, "Usinihesabie bhana lakini kilichopo huku mmmmh..." "Kuna nini?" "Niache kwanza." "Kula ushibe!" Basi bhana, yule mdada alotukaribisha mara ya kwanza akatukaribisha chakula, tukala. Ikawa inaendea saa tatu na nusu, Victor akamwambia mamake, "Eti mama, acha sisi twende nmuwaishe mkweo akawah kulala. Ataanza kusinzia apa, ajazoea kuchelewa kulala." Nkacheka moyoni, "Uyu kama mpumbavu, anajuaga ata nalalaga sangap?"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments